Je, huenda Kenya ikafuata mkondo huu mwaka 2017?
Hivi majuzi, tumeshuhudia mabadiliko ya kisiasa katika mataifa mbali mbali ulimwenguni. Kati ya mabadiliko haya ni kung'olewa mamlakani kwa viongozi ambao wamekuwa mamlakani kwa muda mrefu.
By Preston Maithya
9 years ago