Mwanahabari Njambi Koikai amefariki baada ya kupigana na ugonjwa wa endometriosis kwa zaidi ya miaka 25. Kifo cha Njambi wacha kituamshe usingizini na kutufanya kufikiria jinsi ya kuimarisha miundomsingi ya kuukabili ugonjwa.